Question
nina ndugu yangu ana tatizo la goita,haimuumi ila anahisi inaweza kuleta shida baadae.naomba ushauri wenu hospital ipi ni nzuri kwa upauaji wa hii kitu au kama kuna dawa za kuondoa huo uvimbe bila kupasuliwa.plz help
Anonymous 2 years 3 Answers 38 views

Question
Mimi swali langu ni hili apa naumwa mara kwa mara asa kinachonishangazi kila nikienda kupima nakuta ugonjwa ni ulele malaria mbili na UTI sasa najiuliza kwanini huwa inatokea hivyo na vile vile nashindwa kujua UTI nimeipataje kwasababu mimi sio mzinzi ...
Anonymous 2 years 4 Answers 40 views

Question
je mnasaidiaje mtu mwenye tatizo la kutokuwa na hisia katika tendo la ndoa ?pia mtu anae wahi kufika kileleni mapema na kutokuwa na hamu ya kuendele nae inakuwaje?
Anonymous 2 years 1 Answer 94 views

Question
Mama angu ana kohoa kiasi kwamba hadi sautii ime mkata na kila niki muhimiza atumie dawa hapatii je kipi hatalishi kinaweza kumyokea? Nombeni msaada
Anonymous 2 years 4 Answers 38 views