Question
Miguu yangu iinatatzo la kuchoma choma kwa ndan na sina kisukar wala ugonjwa wowote na saivi nna mimba ya miez6 je ntapata tatzo lolote wakat wakujifungua
Anonymous 2 years 0 Answers 32 views

Question
Nina lafiki yangu kwa sasa n mjamzito ila baba wa mtoto kamkataa ikiwa hawaja wai kwenda crinik pamoja na ninavo ckia nilazima cku ya kupima vzr uwe na baba mtoto na sasa yapita miezii m 3 haj pata vpimo vya ...
Anonymous 2 years 3 Answers 34 views

Question
Ni kazi gani mama mjamzito anatakiwa kufanya na zipi aaifanye ambacho akitamuathiri mtoto ambaye ajazaliwa.
Anonymous 2 years 2 Answers 35 views