Question
you really like a woman, but haven’t had sex with her, kissed her or started dating her yet, should you tell her that you have feelings for her?
Anonymous 2 years 2 Answers 36 views

Question
kwanini katika mahusiano ni rahisi sana mwanamke kumuomba msamaha mwanamme lakini mwanaume ni vigumu kumuomba msamaha mwanamke anapomkosea?
Anonymous 2 years 3 Answers 60 views

Question
nimegundua kuwa mchumba wangu ana nicheat lakin ananifichaa na mm nishajua ukwel kuwa tupo wengi lakin kinachoniuma zaid kuwa nimetoka nae mbalii nimefikiria kuwa mbali nae ili niwe ba mambo yangu je huo ni uamuz sahihi?
Anonymous 2 years 1 Answer 40 views

Question
hellow guys. ni kwa vipi na kiasi gani hali ya kimaisha katika ngazi kifamilia inawezaa kuwa na athari hasi na chanya katika mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wawili kwa dunia hii ya sasa.
Anonymous 2 years 1 Answer 32 views