Afya

Question

Mimi swali langu ni hili apa naumwa mara kwa mara asa kinachonishangazi kila nikienda kupima nakuta ugonjwa ni ulele malaria mbili na UTI sasa najiuliza kwanini huwa inatokea hivyo na vile vile nashindwa kujua UTI nimeipataje kwasababu mimi sio mzinzi ndio useme nimeipatia huko na mazingira ninayoishi ni mazuri nakunywa maji yakuchemsha ,chuo ninachotumia kipo mazingira mazuri .Sasa najiuliza UTI nimeipataje alafu mbaya zaidi kila nikienda kupima naikuta

Anonymous 2 years 4 Answers 55 views 0

Answers ( 4 )

  1. Hello Mr Emanuel
    Huenda labda dozi unazopewa na daktari huwa huzimalizi, kama ni hivo basi jaribu kumaliza dozi unazopewa kwanza.

  2. Pole sana. Kuna njia nyingi sana za kupata UTI tofauti na kujamiiana au mazingira ya choo. Unaweza kupata UTI kupitia mazingira ya hospitalini(nosocomial infection) pia unaweza kupata bila ya kuwa mzinzi hata kwa kujamiiana mara moja unaweza kupata pia. Nikushauri jaribu kunywa maji mengi itakusaidia. Na kuhusu

  3. Kama utakuwa haumalizi dozi, basi nakushauri ujitahidi umalize dozi!! Jaribu kufuata kila ushauri unaoupata kutoka kwa daktari!!

  4. Jaribu kuchunguza wakati ukienda toilet unanawa viip
    Mf unatakiwa ukimaliza haja watakiwa kunawa kurud nyuma na sio kuja mbele….jaribu kuchunguza katika hilo…pemgine yaweza muwa sababu…ya UTI

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .