alcohol

Question

jambo gan ambl linalowasukuma vijana kujihusisha na matumizi ya vilevya?

Anonymous 2 years 5 Answers 40 views 0

Answers ( 5 )

 1. kwa mitazamo ya kawaida, ni masuala ya makundi lika, tamaa, na athali za kiutamaduni ambao unatoka nje ya nchi

 2. Issa Matona
  0

  As you said,actually the most causes are like peer pressure and lack of parental care and so on…..but for my side that are most one..Thank you

 3. Makundi mabaya ambapo wanakundi hushauliana vibaya

 4. Malezi ya wazazi…
  Makundi Rika…
  Mazingira…
  Tamaa Ya Kujaribu Vitu Vipya…
  Msongo…

 5. Peer Pressure… Stress… Plus The Desire To Try Something New…

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .