disease

Question

kuna rafiki angu ana matatizo ya kuota vipele vidogodogo mwilini esp kwenye mapaja na mikononi hivo vipele havimuwash vnatokea kwa muda thn vinapotea bt vnaacha alama, katumia dawa kama gentrisone alyvate etc bt vnajirudia rudia je inaeza kuwa ni nin tatzo? na tiba je?

Anonymous 2 years 2 Answers 46 views 0

Answers ( 2 )

 1. Ningependa nikushauri malihaa..jaribu kumshauri huyo Rafiki yako apunguze kutumia mafuta ya mwili pia aweze kufika Hospital ili aweze kupewa matibabu sahihi.

 2. Matibabu ya Chunusi/Vipele.
  Kuna maelfu ya dawa zinapatikana lakini inachukua muda kupata matokeo na ni muhimukupata matibabu bora kwa mara moja na si kupoteza muda na fedha kwa kujaribumatibabu tofauti.
  Matibabu haya ni bora kwa chunusi popote kwenye mwili wako. Kwa sababu ufanya kazi kwa kasi na pia uondoa madoa, na hakuna madhara hatari upande wa dawa kamaBENZOYL PEROXIDE.Na pia unywaji wa maji ni muhimu sana kwa ngozi yako, jitahidi kunywa angalau glass 8 za maji kila siku..
  Dawa Nyingine ni:
  SONADERM-GM,
  GENTRISONE cream,
  OXY 10 Acne Lotion.
  OXY 10 Acne Pimple Medication.
  ELYCORT.
  ClearSkin-A Gel.

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .