Education

Question

nimemaliza form 4…..nataka niende chuo kusomea SOCIAL WORK mnanishaulije

Anonymous 2 years 2 Answers 55 views 0

Answers ( 2 )

  1. Mr.klyoto upo sawa katika wazo lako .Hata mm pia ni mwanachuo nasomea social worker hivyo kama umetimiza vigezo vya kuomba chuo unawezo kuomba wala usiwe na wasiwasi.

  2. Bora uende high skul coz kutafuta diploma chuo n ngum xana

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .