globalization

Question

je ni upi mchango wa utandawazi katika maendeleo na mwenendo wa vjana katika nchi zinazoendelea

Anonymous 2 years 1 Answer 51 views 0

Answer ( 1 )

  1. Utandawazi umekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya vijana katika nchi zinazoendelea kama ifuatavyo
    1.suala la soko huria(free market economy). kutokana na utandawazi vijana wengi wameweza kupata ajira katika nchi mbalimbali ulimwenguni licha ya kuwa bado ya namba za vijana hao ni ndogo kutokana na kutojiamini (lack of confidence in the world market).kwa mfano kupitia soko huria kuna vijana wameweza kutoka ndani ya nchi zinazoendelea na kuajiriwa kwente taasisi kubwa za ulaya na marekani (watangazaji kutoka tanzania wanatangaza kwenye shirika la BBC)
    2.Suala habari, kupitia utandawanzi vijana wanaweza kupata habari kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni kupitia mitandao ya kijamii ambayo inaweza kuwapa ujasiri na maono kutoka kwa watu mbalimbali ulimwenguni.kwa mfano kupitia google vijana wanapata vitabu mbalimbali maarufu duniani na namna walivyopata maendeleo (kWA MFANO historia ya raisi wa 45 wa USA Mr.Dolnad Trump, mwanasayansi maarufu Dr.Ben Castrol )
    LAKINI UTANDAWAZI PIA UMELETA MATOKEO HASI KWA VIJANA KWA MFANO KUMOMONYOKA KWA MAADILI KWENYE JAMII.

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .