HEDHI

Question

Hello,it is my first time to access into your website,naomba kuuliza ni kwanini siku za hedhi huchelewa? mimi huwa na undergo 35 days kuziona siku zangu.lakini mpaka sasa mwezi na wiki mbili zimepita sijaona siku zangu,nimeshapima hospital wanasema sina mimba.je tatizo inaweza kua nini au ndio dalili za ugumba?Au labda mayai yangu hayajakomaa kiasi cha kuharibika na kutoka kama hedhi? kwa sababu sina stress na nina kula vizuri sijui tatizo ni nini? na kama kuna dawa za kufanya hedhi ije mapema naomba kujulishwa. PLZ guys naombeni ufafanuzi I AM SCARED

Anonymous 2 years 5 Answers 47 views 0

Answers ( 5 )

  1. Pole sana dada, kupata Sikh 35 kama no tangu ukue si shida, shida ni kutokuziona siku zako kwa mwez wapili mfululizo,sasa basi ushauri wangu ni kwenda zahanati au kituo cha afya kupima ujauzito, nakama hautakua na mimba basi upige utrasounda so as to go far in investigation of your problem, ahsante.

  2. Yawezekana unaujauzito kama ulishirili tendo la ndoa karibuni lakin pia yaweza kua una matatizo katika mfumo wako wa hedhi ni vema ukamuona Daktari kwa msaada zaidi

  3. Ucwaze yahtaj uonane na daktar bngwa

  4. hello dear
    hali hiyo huwa inatokea katika umri flani kama una umri wa miaka 12 . 13 . 14 au 15 .usijali vuta subira kama baada ya mwezi mmoja ujao mwezi mwingine tena hakika utapata hedhi yako tena kama unawasiwasi zaidi nenda ukamuone daktari akupime ili uwe na uhakika

  5. mpendwa dada kma hujawahi kufanya mapenzi na mtu yeyote basi usiwe na shaka lolote , utakuwa sawa tu huwa inatokea hiyo hali na itaacha baada ya muda flani.

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .