Hisia katika tendo la ndoa

Question

je mnasaidiaje mtu mwenye tatizo la kutokuwa na hisia katika tendo la ndoa ?pia mtu anae wahi kufika kileleni mapema na kutokuwa na hamu ya kuendele nae inakuwaje?

Anonymous 2 years 1 Answer 162 views 0

Answer ( 1 )

  1. aksante kwa swali zuri…kimsingi tendo la ndoa linahusu hishi(emotions) bainaya watu wawili, lakini hii iko kisaikolojia zaidi. ni bora amuone mwana saikolojia kwa ushauri zaidi…..
    lakini kwa sasa anaweza fanya ivi..
    kuwah unaweza kuzuia kwa njia nyingi tu mfano: kubana pumzi wkt unataka kufika,,,, kuingia na kutoka pia kupeleka mawazo mbali hii ni wakati wa tendo lkn nje ya tendo unaweza fanya zoezi la kudhibiti haja ndogo wakati unaitoa unabana unattoa pia wakati wa haja kubwa usiruhusu haja zote zitoke per time…kalamu hii haitoshi….machache hayo

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .