HIV/AIDS

Question

Mtu mwenye ukimwi anaweza kuishi mwisho miaka mingapi baada ya kuwa na maambukizi

Anonymous 2 years 1 Answer 46 views 0

Answer ( 1 )

  1. hello mpendwa.
    mtu mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi anaweza kuishi muda mrefu zaid hata ya mika 25 na zaid inategemeana na jinsi gani anafata ushauri wa daktari na lishe bora na kujijali lakini kuwa muathirika wa Virusi vya ukimwi haimaanishi siku za kuishi ni chache na bila kumsahau mungu pia

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .