life stly

Question

Mama angu ana kohoa kiasi kwamba hadi sautii ime mkata na kila niki muhimiza atumie dawa hapatii je kipi hatalishi kinaweza kumyokea? Nombeni msaada

Anonymous 2 years 4 Answers 56 views 0

Answers ( 4 )

 1. ben tarimo
  0

  ajaribu kutumia dawa za asili mfano asali ya nyuki wadogo na achanganye na limao na magad huenda vikamsaidia

 2. Hello Mr Ayoub
  Pole sana kwa tatizo linalo mkumba mama, ila huenda ikawa ni kifua kikuu au tatizo tu kulingana na hali ya hewa ya mahala anapoishi. Au huenda pia inaweza kuwa mama anafanya kazi ngumu sana katika mazingira yenye vumbi. Jaribu kumpeleka apate vipimo sahihi kwa daktari.

 3. Kwanza pole sana kwa kuuguliwa na mama yako,
  Kitu cha pili naomba nikushauri usimpe dawa mama bila vipimo vya daktari ili kuweza kujua mama anasumbuliwa na kigua cha aina gani, Mpeleke mama hosptali kwa vipimo zaidi kuna hospital nyingi ambazo wana uwezo yakinifu wakugundua tatizo la kifua anacho umwa ni cha kawaida au ni kifua cha namna gani, kwa kufanya hivyo daktari atampa mgonjwa dawa stahiki ambazo nna hakika zitamponya mama

 4. tumia asali inasaidia sana

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .