mahusiano

Question

nimegundua kuwa mchumba wangu ana nicheat lakin ananifichaa na mm nishajua ukwel kuwa tupo wengi lakin kinachoniuma zaid kuwa nimetoka nae mbalii nimefikiria kuwa mbali nae ili niwe ba mambo yangu je huo ni uamuz sahihi?

Anonymous 2 years 1 Answer 56 views 0

Answer ( 1 )

  1. jambo la kwanza ambalo naweza kukushauri ni kuwa unatakiwa kujua wajibu wako kama mwanadamu pia kuwa na uhakika na uthibitisho wa kuttosha kuwa huyo umpendae anakusaliti pia katika kufanya maamuzi yako usitumie hasira kwani waweza kukaa chini zaidi na kutafakari ka kina juu ya msimamo wako kwani suala kuamua kuwa mbali nae sio suluhisho sahihi sana .

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .