mahusiano

Question

kwanini katika mahusiano ni rahisi sana mwanamke kumuomba msamaha mwanamme lakini mwanaume ni vigumu kumuomba msamaha mwanamke anapomkosea?

Anonymous 2 years 3 Answers 79 views 0

Answers ( 3 )

  1. kwa mtazamo wang nahc ni kwa sababu ya nafasi ya mwanamume ktk family za kibongo ambapo wanaamin kuwa yy ni mtu mzma co hawez kukosea…. Pia naamin ni upunguani kwa mwanamme kutokuomba msamaha pale anapokosea!!!!!!

  2. Kwa sababu wanawake hupenda kujishusha kuliko wanaume..I think that is a major reason.

  3. Maybe its because women mda mwingi tunajiona wakosaji na wahitaji sana ndomana inapelekea kwa wanaume kujiamin kupita kias nakuona kwamba wao sio wahitaji sana…..

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .