mahusiano

Question

habari mimi nmekuwa kwenye mahusiano kwa mwaka1 na mpenzi wangu ila kwa sasa tumeachana kwa sababu niligundua ana mahusiano na mwanamke mwingine na nlipomuuliza alikubali ni kweli ila sasa hivi ananiomba msamaha na anasema yule ni rafiki yake tu na sijui nifanyeje kwa sababu bado nampenda na pia simuani

Anonymous 2 years 3 Answers 55 views 0

Answers ( 3 )

 1. Issa Matona
  0

  yapaswa umsamehe Dada kwa sababu kila binadamu huwa anakosea na mwanzo wa ndio mwanzo wa kujirekebisha kwa hiyo jitahidi kuwa na moyo wa kibinadamu na umsamehe mwenzako sababu hakuna mkamilifu

 2. Habari,mimi nilipenda kukushauri kwamba kama bado unampenda basi unatakiwa utumie busara kumwita mwenzako mkaa kwa hekima na kujadili nini chanzo.kwa kufany hivi itakuusaidia kujua ukweli na itakusaidia kufanya maamuzi sahihi ambayo hayata kuumiza

 3. Habari yako dada
  Night bora make chini muongee na kutafakari vizuri, ,usihukumu kitu kisicho na ushahidi wa kutosha na zaidi bado mnapendana.
  Sameheaneni kama mnahisi inawezekana na kama mnapendana usichukue uamuzi binafsi na wa haraka.
  Asante

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .