Mapenzi ya wazaz kupitiliza kwa watoto

Question

Je? Mapenzi yalio vuka mipaka ya wazazi kwa watoto wao ndio chanzo cha maadili mabaya na mienendo mibaya kwa watoto wao kwa ulimwengu wa sasa?

Anonymous 2 years 3 Answers 146 views 0

Answers ( 3 )

  1. Issa Matona
    0

    Unlikely sio 100% sababu mojawapo wapo pia ya chanzo cha watoto kuwa Na tabia mbovu ni kukosa Upendo wa kutosha wa wazazi wao,nikimaanisha kuwa mzazi anaweza kumpenda mtoto kupitiliz Na akawa na maadili mema….Ahsante!

  2. Ni kweli kwani Upendo Uliokithiri Huwafanya Wajione Wamaweza Kufanya Lolote!

  3. It Depends On The Child…

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .