mapenzi yana nchanganya

Question

Nna girlfriend wang yupo tz na mm npo zang abroad.kuwasilian kwe2 n kwashda coz her mother yupo moto ile mbaya .Na mm nashndwa kuvumilia nmeamua niachane nae mnanshaur nn ndugu zang juu ya hil????

Anonymous 2 years 4 Answers 156 views 0

Answers ( 4 )

 1. Ni kwel inauma kuwa katika mahusiano yadiyo na mawasiliano, kwani mawasiliano ndio kiungo kikuu cha uhusiano wowote.
  Kushindwa kuwasiliana nae kwa kua mama yake humzuia si jambo la kustaajabu. Hakuna mzazi ambaye hayupo tayari kumlinda mtoto wake
  Subira huvuta heri, haimaanishi mpenzi wako hata kua na simu milele. Atakuja kupata ya kwake na huenda ikawa njia nzuri kwa njie kuendelea kupendana, kwani atakuona umvumilivu japo kulkua na kikwazo
  Hivyo basi bakushauri, usimuache.

 2. Ni kwel inauma kuwa katika mahusiano yadiyo na mawasiliano, kwani mawasiliano ndio kiungo kikuu cha uhusiano wowote.
  Kushindwa kuwasiliana nae kwa kua mama yake humzuia si jambo la kustaajabu. Hakuna mzazi ambaye hayupo tayari kumlinda mtoto wake
  Subira huvuta heri, haimaanishi mpenzi wako hata kua na simu milele. Atakuja kupata ya kwake na huenda ikawa njia nzuri kwa njie kuendelea kupendana, kwani atakuona umvumilivu japo kulkua na kikwazo
  Hivyo basi bakushauri, usimuache.

 3. Peer educator
  0

  Hey there!
  Jambo lamuhimu katika mahusiano yeyote yale, hasa ya kimapenzi, ni mawasiliano. ningependa kukushauri kwamba, tafuta muda ambao yeye atakua free kwa mazungumzo, muongee na mkubaliane suluhisho la mahusiano yenu. Kama na yeye akiona ni vema muachane then fanya hivyo. Ila katika maamuzi yeyote utakayochukua hakikisha yamekubaliwa na pande zote kwani hakuna mwenye makosa kati yenu ila ni circumstances tu, na pia ili asidhani you are cheating on her. Fanya maamuzi yako kwa busara ili usipate lawama zisizokustahili.

  Natumai nimeweza kukujibu

 4. Nahisi ingekuwa vizuri zaidi kama ungeenda kwa wazazi wake kujitambukisha ili wakufahamu.Kwa kufanya hivyo kutajenga imani kwake na kwa wazazi wake kwamba una nia nzuri na una mapenzi ya dhati…

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .