mawasiliano na mwenz wako

Question

umuhimu wa mawasiliano na mpenz wako

Anonymous 2 years 1 Answer 105 views 0

Answer ( 1 )

  1. Katika mahusiano ya kimapenzi epuka kitu kinachoitwa mazoea kwani watu waliokuwa katika mahusiano ya kimapenzi kama mke na mume huwa wanajisahau sana katika mawasiliano. Unapomtumia mwenza wako ujumbe lazima utofautishe na ujumbe unaomtumia rafiki yako. Watu wanaua mahusiano yao kwa kukosa mawasiliano mazuri mfano mtu anamtumia mpenzi wake ujumbe kama vile anamtumia rafiki bila hata kuweka vionjo mbalimbali vya kimahaba vitakavyompa faraja na upendo. Unapomtumia jumbe zilizokosa vionjo akipata mtu anayemwekea vionjo katika jumbe itakuletea dosari katika mahusiano yako kama mwenzako ameweza kuweka vionjo kwa kutumia muda wake na wewe unamtumia ujumbe mkavu kwani utapungukiwa nini ukituma kama yeye alivyotuma. Kwa hiyo, ni vema kuepuka mazoea katika mawasiliano kwani mazoea katika mawasiliano ndiyo yanavunja mahusian

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .