Pregnancy

Question

Ni kazi gani mama mjamzito anatakiwa kufanya na zipi aaifanye ambacho akitamuathiri mtoto ambaye ajazaliwa.

Anonymous 2 years 2 Answers 35 views 0

Answers ( 2 )

 1. kwanza aonane Na daktari apime ili ajue ujauzito wake upoje baada ya hapo atashauriwa jinsi ya kufanya

 2. Hello Faidha
  Swali lako ni zuri na lina umuhim mkubwa sana kwa afya ya mama na mtoto. Mimi natambua na kuamini kuwa wanawake ni wajasiri na wenye nguvu kiasi kwamba wanaweza kufanya kazi yoyote ambayo mwanaume anafanya, ila mtoto alie tumboni hatoweza iyo mikiki mikiki.
  Ndio maana kuna baadhi ya kazi hutakiwa kufanya unapokuwa mjamzito, kazi hizo ni zile zinazohusisha vitu vifuatavyo,
  1. Kazi zile zinazohusisha kutumia nguvu sana kuliko kawaida.
  2. Kazi zinazokutaka kusimama kwa muda mrefu.
  3. Kazi zinazo husisha kukaa juani kwa muda mrefu.
  4. Kazi zenye kuhusisha kemikali sana kwani izo kemikali zinaweza kumdhuru mtoto.
  5. Pia kazi zenye kuhitaji kutembea sana, hasa pale ujauzito unapokuwa mkubwa.

  Zingatia: Kazi pia zinatemegea na hali gani uliopo katika ujauzito wako.

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .