pregnancy

Question

Nina lafiki yangu kwa sasa n mjamzito ila baba wa mtoto kamkataa ikiwa hawaja wai kwenda crinik pamoja na ninavo ckia nilazima cku ya kupima vzr uwe na baba mtoto na sasa yapita miezii m 3 haj pata vpimo vya maendeleo ya mtoto nimshauli nini? na je hatima ya kuto kuzidi kukaa pasipo kupima ni nini? @namthaminii

Anonymous 2 years 3 Answers 34 views 0

Answers ( 3 )

  1. Kuna madhara mengi hutokea bila kupima maendeleo ya kichanga tumboni. Hii hutokana na uwezekano wa maambukuzi yanayoweza kumpata mama mjamzito na kuweza kumuathiri kichanga tumboni hivyo ni muhimu sana kutembelea kituo cha afya kufahamu maendeleo ya mtoto ili kuweza kuepukana na madhara makubwa yatakayoweza kutokea na kuathiri afya ya mama na mtoto pia.

  2. Habari mimi ni intern nurse…..kwa experience yupo katika week sahihi za kwenda kuanza clinic…..na tunashaur mama ahudhurie clinic kwa lengo la kupima na kujua maendeleo ya mwanaye..

    Anaweza kuhudhiria clinic bila kuwa na mumewe au mwenz wake
    Na atapatiwa huduma bila shida…..
    Ni vizur kwenda naye kama yupo ila kama hayupo haina shida

  3. Ningependa nikusaidie kitu kimoja..jaribu kuongea nae kwa utulivu huyo baba wa mtoto kama ikishindikana fanya uende hospital pamoja nae mama wa mtoto ili uweze kumsaidia pindi aweapo hapo Hospital.

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .