relationship

Question

I am a teenage dating a guy for almost 6yrs and we do love each other so much….bt the thing is that since last year November ameenda abroad kusoma….since ameenda huko tukiongea tu kidogo lazima tutagombana……I just wonder whats wrong with him?

Anonymous 2 years 3 Answers 44 views 0

Answers ( 3 )

  1. Pole sana Leyla kwa tatizo lako ,Ningependa nikufahamishe kwamba MTU akihama sehemu moja kwenda nyingine lazima aweze kupata marafiki wapya,mawazo mapya na pia mitazamo mipya .hivyo jaribu kuongea nae vizuri ili uweze kufahamu kuna utofauti gani kati yako na yako.

  2. Acha naye u must choose someone special 4 your lyf

  3. Leyla, relationship is a complex subject and most of the time distance messes the feelings up. Jaribu kuangalia tatizo ni nini kwa sababu most of the time utakuta unalalamika kuwa yeye ndio mwenye tatizo lakini possibly ugomvi wenu unasababishwa na wewe pia.
    Hebu muulize, mweleze utofauti unaoona na muongee kwa kina kutafuta chanzo cha hayo yote. Huenda yuko katika wakati mgumu au anakumiss sana/ haamini kama utastay faithful, in the end just talk to your guy and address your issues. Long distance relationships are tricky, they need a high level of commitment and understanding. All the best

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .