ugonjwa wa kifua

Question

Ivii kwa mtu anae umwa kifua cha kukohoa pia sautii haitokii ana uwezo wa kutumia dawa na asalii kama mlivo nishaulii maana dawa naona hazisaidii?

Anonymous 2 years 2 Answers 48 views 0

Answers ( 2 )

  1. Tatizo la kifua cha Kukohoa kiwe kikavu hata cha kubanja kinaweza kutibiwa kwa asali kama tu hakitokani na tatizo la ugonjwa mwingine kama TB, Mapafu na hata ambukizo kwa mfumo wa hewa.
    Kwa ulivyokuwa umeshauriwa na matokeo uliyoyapata, zingatia usemi wa kitabibu kuwa, \\\”Uonapo tiba mbadala uliyoshauriwa haitatui tatizo lako, yakupasa mapema kwenda kukutana na daktari kwenye kituo cha afya ama hospitali iliyo karibu nawe. Zingatia pia kutotumia vinywaji baridi wakati unakabiliwa na tatizo hilo.
    Ugua pole lakini upone haraka!

  2. Tatizo la kifua cha Kukohoa kiwe kikavu hata cha kubanja kinaweza kutibiwa kwa asali kama tu hakitokani na tatizo la ugonjwa mwingine kama TB, Mapafu na hata ambukizo kwa mfumo wa hewa.
    Kwa ulivyokuwa umeshauriwa na matokeo uliyoyapata, zingatia usemi wa kitabibu kuwa,”Uonapo tiba mbadala uliyoshauriwa haitatui tatizo lako, yakupasa mapema kwenda kukutana na daktari kwenye kituo cha afya ama hospitali iliyo karibu nawe. Zingatia pia kutotumia vinywaji baridi wakati unakabiliwa na tatizo hilo.
    Ugua pole lakini upone haraka!

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .