wivu

Question

habar wapendwa, eti ni kweli kuwa Wivu ni hisia za ubinafsi zisizo na chembe ya upendo.

Anonymous 2 years 2 Answers 60 views 0

Answers ( 2 )

  1. Wivu ni hisia na Mara nyingi huambatana na mapenzi ya kweli na wivu unawuza kupelekea kushindwa kijiamini katika mahusiano vilevile wivu unaweza kusababisha madhara ikiwemo hata kifo na ugomvi baina ya watu wawili

  2. Wivu ni hisia na Mara nyingi huambatana na mapenzi ya kweli na wivu unawuza kupelekea kushindwa kijiamini katika mahusiano vilevile wivu unaweza kusababisha madhara ikiwemo hata kifo na ugomvi baina ya watu wawili au zaidi

Leave an answer

Sorry, you do not have a permission to answer to this question .